MASHARTI
Masharti na Vigezo
Masharti ya kununua bidhaa kupitia MONTANA STORE.
Oda na bei
Bei zote ziko kwa Shilingi za Kitanzania (TSh). Bei na upatikanaji wa bidhaa vinaweza kubadilika bila taarifa. Bei inayohesabiwa ni ile iliyoonyeshwa ulipoweka oda.
Malipo
Oda inaanza kushughulikiwa pale malipo yanapothibitishwa. Oda ambazo hazijalipiwa zinaweza kufutwa.
Delivery
Hakikisha anwani na namba ya simu ni sahihi. Hatuwajibiki kwa ucheleweshaji unaotokana na taarifa zisizo sahihi.
Marejesho
Marejesho yanafuata Sera ya Marejesho.