HUDUMA KWA WATEJA
Sera ya Marejesho
Bidhaa yenye kasoro au isiyo sahihi? Hivi ndivyo tunavyoshughulikia marejesho.
Siku 3 za kurudisha
Ukipokea bidhaa yenye kasoro, isiyo sahihi au tofauti na uliyoagiza, wasiliana nasi ndani ya siku 3 tangu kuipokea.
Masharti
Bidhaa iwe katika hali uliyoipokea, ikiwa na vifungashio vyake. Bidhaa za urembo zilizofunguliwa na nguo za ndani hazirudishwi kwa sababu za usafi.
Kubadilisha au kurejeshewa pesa
Tukithibitisha tatizo, tutakubadilishia bidhaa au kukurejeshea pesa kupitia namba uliyolipia. Gharama ya kurudisha bidhaa yenye kasoro ni juu yetu.
Jinsi ya kuanza
Tutumie WhatsApp 0674815600 ukiwa na namba ya oda na picha ya bidhaa.