MASWALI
Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara
Majibu ya haraka kuhusu kuagiza, malipo, delivery na marejesho.
Ninaagizaje bidhaa?
Bonyeza NUNUA kwenye bidhaa, fungua Kikapu, bonyeza ORDER NOW, jaza taarifa zako kisha LIPA SASA.
Ni njia zipi za malipo zinakubalika?
M-Pesa, Mixx by Yas, Airtel Money na HaloPesa. Ombi la malipo linakuja moja kwa moja kwenye simu yako.
Delivery inachukua muda gani?
Siku 1–2 Dar es Salaam na siku 2–5 kwa mikoa mingine.
Delivery inagharimu kiasi gani?
TSh 3,000 Dar es Salaam na TSh 10,000 kwa mikoa mingine.
Nitajuaje oda yangu imefika wapi?
Tumia ukurasa wa Fuatilia Oda ukiwa na namba ya oda na namba ya simu uliyotumia.
Nimelipa lakini oda inaonyesha Pending?
Subiri dakika chache, kwani uthibitisho hufika moja kwa moja. Ikiendelea, wasiliana nasi ukiwa na namba ya oda na ujumbe wa muamala.
Naweza kurudisha bidhaa?
Ndiyo, ndani ya siku 3 kwa bidhaa yenye kasoro au isiyo sahihi. Soma Sera ya Marejesho.